load_from_remote:"Hitilafu imetokea wakati wa kupakua taarifa."
site_settings:
default_categories_already_selected:"Hauwezi kuchagua kikundi kinachotumika kwenye orodha nyingine."
conflicting_google_user_id:'Utambulisho wa Akaunti ya Google imebadilishwa; msaidizi ataipitia kwa ajili ya sababu za ulinzi. Tafadhali wasiliana na msaidizi na waonyeshe <br><a href="https://meta.discourse.org/t/76575">https://meta.discourse.org/t/76575</a>'
Badala ya kujibu mada kwa mara kadhaa kwa wakati mmoja, unaweza kutuma jibu moja lenye nukulu kutoka kwenye machapisho yaliyopita au @kumbukumbu la jina.
Unaweza kuhariri machapisho yaliyopita kuongeza nukulu kwa kufanya yafuatayo, bainisha nakala na chagua kitufe cha <b>nukulu jibu</b>kitakachotokea.
Ni rahisi kwa watu wote kusoma mada ambazo zina majibu machache ukilinganisha na majibu madogo, mafupi na ya kibinafsi.
too_many_replies:|
### Umefika kiwango cha juu cha kujibu kwenye mada hii
Tunaomba radhi, lakini watumiaji wapya wana vizuizi vya mda mfupi vya majibu %{newuser_max_replies_per_topic} kwenye mada moja.
Badala ya kuongeza jibu lingine, unaweza kuhariri majibu uliyochapisha, au kutembelea mada zingine.
reviving_old_topic:|
### Rudisha mada hii?
Jibu la mwisho la mada hii lilikuwa **%{time_ago}**. Jibu lako litafanya mada ipande orodha na mtu yoyote aliyehusika kwenye maongezi.
blocked:"Usajili mpya hauruhusiwi kutoka kwenye anwani hio ya mtandao."
max_new_accounts_per_registration_ip:"Usajili mpya hauruhusiwi kutoka kwenye anwani hio ya mtandao (kiwango cha juu kimefika). Wasiliana na mfanyakazi."
change_failed_explanation:"Ulijaribu kumshusha daraja %{user_name} kwenda '%{new_trust_level}'. Lakini kiwango chake cha uaminifu tayari ni '%{current_trust_level}'. %{user_name} atabaki kwenye '%{current_trust_level}' - kama unataka kumshusha daraja loki kiwango cha uaminifu kwanza."
post:
image_placeholder:
broken:"Picha ina matatizo"
rate_limiter:
slow_down:"Umefanya kitendo hiki mara nyingi sana, tafadhali jaribu tena baadae."
too_many_requests:"Umefanya kitendo hiki mara nyingi sana. Tafadhali subiri %{time_left} kabla ya kujaribu tena."
by_type:
live_post_counts:"Unaomba idadi ya chapisho zilizo hewani kwa haraka sana. Tafadhali subiri %{time_left} kabla ya kujaribu tena."
unsubscribe_via_email:"Umefika kiwango cha juu cha kujitoa kupitia barua pepe. Tafadhali subiri %{time_left} kabla ya kujaribu tena."
different_user_description:"Umeingia kama mtu mwingine tofauti na mtu tuliyemtumia barua pepe. Tafadhali toka, au ingia kwenye hali-tumizi ya mtu asiyejulikana, na jaribu tena."
rails_env_warning:"Seva inafanyakazi ndani ya %{env} halitumizi."
host_names_warning:"Fili lako la config/database.yml linatumia localhost hostname. Sasisha ili itumie hostname ya tovuti yako."
sidekiq_warning:'Sidekiq haifanyi kazi. Shughuli nyingi kama kutuma barua pepe, zinashughulikiwa na sidekiq. Tafadhali hakikisha kuwa mfumo wa sidekiq unafanya kazi. <a href="https://github.com/mperham/sidekiq" target="_blank">Jifunza kuhusu Sidekiq hapa</a>.'
queue_size_warning:"Namba za kazi zilizopangwa ni %{queue_size}, ambazo ni nyingi. Hii inaweza kusababishwa na tatizo na m(i)fumo wa Sidekiq, au inabidi uongeze wafanyakazi wa Sidekiq."
memory_warning:"Seva yako inatumia chini ya GB 1 ya kumbukumbu. Tunakushauri utumie kumbukumbu zaidi ya GB 1."
force_https_warning:"Tovuti yako inatumia SSL. Lakini `<a href='%{base_path}/admin/site_settings/category/all_results?filter=force_https'>force_https` haijaruhusiwa kwenye mipangilio ya tovuti yako."
search_recent_posts_size:"Machapisho mangapi ya hivi karibuni yabaki kwenye kielezo"
log_search_queries:"hifadhi utafiti wa watumiaji"
search_query_log_max_size:"Kiwango cha juu cha utafiti kuhifadhiwa"
allow_uncategorized_topics:"Ruhusu mada zitengenezwe bila kategoria. ONYO: Kama kuna mada ambazo hazina kategoria, itakubidi uziweke kwenye kategoria kabla ya kuzima hii."
allow_duplicate_topic_titles:"Ruhusu mada zenye vichwa vya habari vinavyofanana au vinavyojirudia."
unique_posts_mins:"Dakika ngapi zipite kabla mtumiaji ajachapisha mada yenye maandishi yale yale tena."
educate_until_posts:"Mtumiaji akianza kuandika machapisho mapya (n), onyesha paneli ya ufundishaji kwenye sehemu ya kuandika maneno."
editing_grace_period:"Kwa sekundi (n) baada ya kuchapisha, uhariri hautatengeneza nakala mpya kwenye historia ya chapisho."
staff_edit_locks_post:"Machapisho hayataweza kufanyiwa uhariri kama yakihaririwa na wafanyakazi"
edit_history_visible_to_public:"Ruhusu kila mtu aone matoleo ya kabla ya chapisho lililofanyiwa uhariri. Ikisitishwa, wasaidizi tu wataweza kuona."
delete_removed_posts_after:"Machapisho yaliyofutwa na mwandishi yataondolewa baada ya masaa (n). Kama ikiwaset kwenye 0, machapisho yataondolewa hapo hapo."
add_rel_nofollow_to_user_content: 'Ongeza rel nofollow kwenye maandishi yote mtumiaji aliyotoa, isipokuwa viungo vya ndani (pamoja na kikoa baba). Ukibadilisha hii, lazima urebake machapisho yote na:"rake machapishi:rebake"'
post_undo_action_window_mins:"Dakika watumiaji wanaruhusiwa kutendua vitendo vya hivi karibuni kwenye chapisho (kupenda, bendera, etc)."
maximum_session_age:"mtumiaji ataendelea kuwa ndani kwa masaa n toka mara ya mwisho alipotembelea"
site_contact_username:"Jina la msaidizi lililo sahihi litakalotuma ujumbe otomatikali. Kama ikiachwa wazi chaguo-msingi la akaunti ya mfumo litatumika."
send_welcome_message:"Watumie watumiaji wapya ujumbe wa kuwakaribisha na muongozo mfupi wa kuanzia."
topics_per_period_in_top_summary:"Namba ya mada za juu zitakazo onyeshwa kama chaguo-msingi la muhtasari wa mada za juu."
topics_per_period_in_top_page:"Idadi ya mada za juu zitakazo onyeshwa kwenye upande wa 'Onyesha Zaidi' mada za juu."
redirect_users_to_top_page:"Otomatikali watumiaji wapya na wale ambao hawapo watapelekwa juu ya ukurasa."
email_token_valid_hours:"Nimesahau nywila / tokens za kuanzisha akaunti zina kibali cha masaa (n)"
new_version_emails:"Tuma barua pepe kwa barua pepe_mawasiliano toleo jipya la Discourse likitolewa."
invite_expiry_days:"Funguo za mualiko ni sahihi, kwa siku ngapi"
password_unique_characters:"Idadi ya chini ya herufi pekee nywila inahitaji."
block_common_passwords:"Usiruhusu nywila amabazo zipo kati ya nywila 10,000 zinazotumika mara kwa mara."
enable_local_logins_via_email:"Ruhusu watumiaji kuomba kuingia kupitia kiungo ambacho kitatumwa kupitia barua pepe."
allow_new_registrations:"Ruhusu usajili wa watumiaji wapya. Ondoa hii kusitisha mtu yoyote kutengeneza akaunti mpya."
enable_signup_cta:"Onyesha ilani kwa watumiaji wasiojulikana itakayowaambia watengeneze akaunti."
google_oauth2_client_secret:"Siri ya Mtumiaji kwa ajili ya Programu-timizi ya Google"
enable_backups:"Ruhusu wasimamizi watengeneze machelezo ya jamii"
rate_limit_create_topic:"Baada ya kutengeneza mada, watumiaji wasubiri sekunde (n) kabla ya kutengeneza mada nyingine."
rate_limit_create_post:"Baada ya kuchapisha, watumiaji wasubiri sekunde (n) kabla ya kutengeneza mada nyingine."
rate_limit_new_user_create_post:"Baada ya kuchapisha, watumiaji wapya wasubiri sekunde (n) kabla ya kutengeneza mada nyingine."
max_likes_per_day:"Kiwango cha juu cha upendo kwa kila mtumiaji kwa siku."
max_flags_per_day:"Kiwango cha juu cha bendera kwa kila mtumiaji kwa siku."
max_bookmarks_per_day:"Kiwango cha juu cha mialamisho kwa kila mtumiaji kwa siku."
max_edits_per_day:"Kiwango cha juu cha uhariri kwa kila mtumiaji kwa siku."
max_topics_per_day:"Kiwango cha juu cha mada mtumiaji anaweza kutengeneza kwa siku."
max_invites_per_day:"Kiwango cha juu cha mialiko mtumiaji anaweza kutuma kwa siku."
max_topic_invitations_per_day:"Kiwango cha juu cha mialiko ya mada mtumiaji anaweza kutuma kwa siku."
max_logins_per_ip_per_hour:"Kiwango cha juu cha uingiaji mtumiaji anaruhusiwa kuendana na anwani yake ya mtandao kila saa"
max_logins_per_ip_per_minute:"Kiwango cha juu cha uingiaji mtumiaji anaruhusiwa kuendana na anwani yake ya mtandao kila dakika"
alert_admins_if_errors_per_minute:"Idadi ya hitilafu kila dakika itakayomfanya kiongozi apate taarifa. Namba ya 0 inasitisha kipengele hichi. NOTI: inahitaji uanzishaji upya."
alert_admins_if_errors_per_hour:"Idadi ya hitilafu kila saa itakayomfanya kiongozi apate taarifa. Namba ya 0 inasitisha kipengele hichi. NOTI: inahitaji uanzishaji upya."
suggested_topics:"Idadi ya mada zilizo chini ya mada watumiaji wanazo shauriwa kutembelea. "
limit_suggested_to_category:"Onyesha mada pekee kutoka kwenye kategoria za hivi karibuni ndani ya mada wanazo shauriwa kutembelea."
suggested_topics_max_days_old:"Mada wanazo shauriwa kutembelea ziwe na umri wa siku n."
default_invitee_trust_level:"Chaguo-msingi la Kiwango cha Uaminifu (0-4) kwa watumiaji walioalikwa."
default_trust_level:"Chaguo-msingi la Kiwango cha Uaminifu (0-4) kwa watumiaji wapya. ONYO! Ukibadilisha hii utajiweka kwenye hatari ya kupata barua au ujumbe taka."
tl1_requires_topics_entered:"Mada ngapi inabidi ziandikwe na mtumiaji kabla ya kupanda cheo kufika kiwango cha uaminifu cha 1."
tl1_requires_read_posts:"Mtumiaji Mpya inabidi asome machapisho mangapi kabla ya kufika daraja la 1 la uaminifu."
tl1_requires_time_spent_mins:"Mtumiaji Mpya inabidi asome machapisho kwa mda gani kabla ya kufika daraja la 1 la uaminifu."
tl2_requires_topics_entered:"Mada ngapi inabidi ziandikwe na mtumiaji kabla ya kupanda cheo kufika kiwango cha uaminifu cha 2."
tl2_requires_read_posts:"Mtumiaji Mpya inabidi asome machapisho mangapi kabla ya kufika daraja la 2 la uaminifu."
tl2_requires_time_spent_mins:"Mtumiaji Mpya inabidi asome machapisho kwa mda gani kabla ya kufika daraja la 2 la uaminifu."
tl2_requires_days_visited:"Siku ngapi lazima zipite kabla mtumiaji hajapanda cheo kufika kiwango cha 2 cha uaminifu."
tl2_requires_likes_received:"Mada ngapi inabidi ziandikwe na mtumiaji kabla ya kupanda cheo kufika kiwango cha 2 cha uaminifu."
tl2_requires_likes_given:"Mtumiaji inabidi atoe upendo mngapi kabla ya kupanda cheo kufika kiwango cha 2 cha uaminifu."
tl2_requires_topic_reply_count:"Mada ngapi inabidi zijiibiwe na mtumiaji kabla ya kupanda cheo kufika kiwango cha 2 cha uaminifu."
tl3_time_period:"Kiwango cha 3 cha uaminifu kipindi cha mda (siku)"
tl3_requires_posts_read:"Asilimia ya machapisho yaliyotengenezwa ndani ya siku (mda wa kiwango cha 3 cha uaminifu) ambazo mtumiaji anahitaji kuangalia kabla ya kufika kiwango cha 3 (0 mpaka 100)"
tl3_requires_posts_read_cap:"Kiwango cha juu cha machapisho yanayotakiwa kusomwa ndani ya siku (mda wa kiwango cha 3 cha uaminifu)."
tl3_requires_topics_viewed_all_time:"Kiwango cha chini cha machapisho yanayotakiwa kuangaliwa na mtumiaji ili afuzu kiwango cha 3 cha uaminifu."
tl3_requires_posts_read_all_time:"Kiwango cha chini cha machapisho yanayotakiwa kufuzu kiwango cha 3 cha uaminifu."
tl3_requires_max_flagged:"Mtumiaji lazima asiwe na machapisho x yaliyopewa bendera na watumiaji x tofauti ndani ya siku (mda wa kiwango cha 3 cha uaminifu) kufuzu kiwango cha tatu cha uaminifu, ambapo x ni namba ya mpangalio. (0 na juu)"
tl3_promotion_min_duration:"Siku ambazo lazima zipite kwa mtumiaji aliyepanda cheo kufika kiwango cha 3 cha uaminifu kabla hajarudishwa kwenye kiwango cha 2 cha uaminifu."
tl3_requires_likes_given:"Kiwango cha chini cha upendo unaotakiwa kutolewa ndani ya siku (tl3 time period) ili mtu afuzu kufika kiwango cha 3 cha uaminifu."
tl3_requires_likes_received:"Kiwango cha chini cha upendo unaotakiwa kupokelewa ndani ya siku (tl3 time period) ili mtu afuzu kufika kiwango cha 3 cha uaminifu."
min_trust_to_create_topic:"kiwango cha chini cha uaminifu kinachohitajika kabla ya kutengeneza mada mpya."
allow_flagging_staff:"Kama ikiruhusiwa, watumiaji wanaweza kuweka bendera kwenye machapisho kutoka kwenye akaunti za wasaidizi."
min_trust_to_edit_wiki_post:"Kiwango cha chini cha uaminifu kinachohitajika kuhariri machapisho ambayo ni wiki."
min_trust_to_edit_post:"Kiwango cha chini cha uaminifu kinachohitajika kabla ya kuhariri machapisho."
min_trust_to_allow_self_wiki:"Kiwango cha chini cha uaminifu kinachohitajika na mtumiaji kuweza kufanya chapisho lake liwe wiki."
min_trust_to_flag_posts:"Kiwango cha chini cha uaminifu kinachohitajika kabla ya kuweka bendera kwenye machapisho."
min_trust_to_post_links:"Kiwango cha chini cha uaminifu kinachohitajika kabla ya kuweka viungo kwenye machapisho."
newuser_max_links:"Viungo vingapi mtumiaji mpya anaweza kuongeza kwenye chapisho."
newuser_max_attachments:"Viambatanisho vingapi mtumiaji mpya anaweza kuweka kwenye chapisho."
newuser_max_mentions_per_post:"Namba ya taarifa za @jina mtumiaji mpya anaweza kutumia kwenye chapisho."
newuser_max_replies_per_topic:"Namba ya majibu mtumiaji mpya anaruhusiwa kuandika kwenye mada moja mpaka mtu atakapomjibu"
max_mentions_per_post:"Namba ya taarifa za @jina mtumiaji yoyote anaweza kutumia kwenye chapisho."
email_time_window_mins:"Subiri dakika (n) kabla ya kutuma barua pepe zenye taarifa, kuwapa mda watumiaji nafasi ya kuhariri na kumalizia machapisho yao."
personal_email_time_window_seconds:"Subiria sekunde (n) kabla ya kutuma ujumbe binafsi barua pepe za taarifa, kuwapa watumiaji nafasi kuhariri na kumalizia ujumbe wao."
title_max_word_length:"Kiwango cha juu cha urefu wa neno, kwenye herufi, kwenye kichwa cha mada inachoruhusiwa."
allow_uppercase_posts:"Ruhusu herufi kubwa kwenye kichwa cha mada au mwili wa chapisho."
topic_views_heat_low:"Baada ya kuangaliwa na namba fulani ya watu, namba ya watu walioiangalia itaangaza kwa kiasi kidogo."
topic_views_heat_medium:"Baada ya kuangaliwa na namba fulani ya watu, namba ya watu walioiangalia itaangaza kwa wastani."
topic_views_heat_high:"Baada ya kuangaliwa na namba fulani ya watu, namba ya watu walioiangalia itaangaza kwa kiasi kikubwa."
cold_age_days_low:"Baada ya siku nyingi za majadiliano, tarehe ya mwisho ya shughuli itaangaza kiasi."
cold_age_days_medium:"Baada ya siku nyingi za majadiliano, tarehe ya mwisho ya shughuli itaangaza kiasi."
cold_age_days_high:"Baada ya siku hizi nyingi za majadiliano, tarehe ya mwisho ya shughuli itaangaza kiasi."
newuser_spam_host_threshold:"Mara ngapi mtumiaji mpya anaweza kuchapisha kiungo kwenye komputa mwenyeji ndani ya machapisho ya `newuser_spam_host_threshold` kabla ya taarifa kuitwa barua taka."
allowed_spam_host_domains:"Orodha ya vikoa vilivyotengwa kutoka kwenye majaribio ya komputa mwenyeji ya barua taka. Watumiaji wapya hawatazuiliwa kutengeneza machapisho yenye viungo kwenda kwenye vikoa hivi."
delete_all_posts_max:"Kiwango cha juu cha machapisho yanayoweza kufutwa mara moja na kitufe cha Futa Machapisho Yote. Kama mtumiaji ana namba fulani ya machapisho, machapisho hayawezi kufutwa mara moja na mtumiaji hawezi kufutwa. "
digest_topics:"Kiwango cha juu cha mada maarufu kuonyeshwa kwenye muhtasari wa barua pepe."
digest_posts:"Kiwango cha juu cha machapisho kitakacho onyeshwa kwenye muhtasari ya barua pepe."
digest_other_topics:"Kiwango cha juu cha mada maarufu kuonyeshwa ndani ya 'Mada na kategoria mpya ' kwenye muhtasari wa barua pepe."
suppress_digest_email_after_days:"Husuru muhtasari wa barua pepe kwa watumiaji ambao hawajaonekana kwenye tovuti zaidi ya siku (n)"
digest_suppress_categories:"Husuru kategoria hizi kutokea kwenye muhtasari wa barua pepe."
sequential_replies_threshold:"Namba ya machapisho mtumiaji anaruhusiwa kuandika kabla ya kukumbushwa kuwa ameandika majibu mengi yanayofuatana."
get_a_room_threshold:"Namba ya machapisho mtumiaji anaruhusiwa kuandika kwa mtu mmoja kwenye mada moja kabla ya kupata onyo."
dominating_topic_minimum_percent:"Namba ya machapisho mtumiaji anaruhusiwa kuandika kwenye mada kabla ya kukumbushwa kuwa anamiliki mada sana."
auto_handle_queued_age:"Shughulikia rekodi zinazosubirishwa baada ya siku hizi. Bendera zitapuuzwa . Machapisho kwenye foleni na watumiaji watakataliwa. Weka namba 0 kusitisha hiki kipengele."
display_name_on_posts:"Onyesha jina lote kwenye machapisho zaidi ya @jinalamtumiaji"
show_time_gap_days:"Kama machapisho mawili yametengenezwa baada ya siku hizi kupita, onyesha utofauti wa mda kwenye mada."
short_progress_text_threshold:"Baada ya namba za machapisho kupita namba hii, indiketa ya maendeleo kijaonyesha namba ya machapisho ya karibuni tu. Ukibadilisha upana wa indiketa ya maendeleo, itabidi ubadilishe hii namba."
embed_support_markdown:"Ruhusu umbizo wa Markdown kwa ajili ya machapisho yaliyoambatanishwa."
embed_post_limit:"Kiwango cha juu cha machapisho yakuambatanisha."
embed_username_required:"Jina la mtumiaji kwa ajili ya kutengeneza mada linahitajika."
approve_post_count:"Namba za machapisho kutoka kwa mtumiaji mpya au wa msingi ambazo lazima zipate kibali"
notify_about_queued_posts_after:"Kama kuna machapisho ambayo yamekuwa yanasubirishwa kwa zaidi ya masaa haya, tuma taarifa kwa wasimamizi wote. Andika 0 kuzima hizi taarifa."
auto_close_topics_post_count:"Idadi ya juu ya machapisho yanayoruhusiwa kwenye mada kabla haijafungwa (0 kuzima)"
max_allowed_message_recipients:"Kiwango cha juu cha wapokeaji wanaoruhusiwa kwenye ujumbe."
default_email_digest_frequency:"Mara ngapi watumiaji watapata muhtasari wa barua pepe kama chaguo-msingi."
default_include_tl0_in_digests:"Tia ndani machapisho ya watumiaji wapya kwenye muhtasari wa barua pepe kama chapio-msingi. Watumiaji wanaweza kubadilisha hii kwenye mapendekezo yao."
default_email_mailing_list_mode:"Tuma barua pepe kwa ajili ya kila chapisho jipya kama chaguo-msingi."
default_email_previous_replies:"Weka ndani majibu ya awali kwenye barua pepe kama chaguo-msingi"
default_other_enable_quoting:"Ruhusu jibu nukulu kwenye neno lenye angaza kama chaguo-msingi."
default_topics_automatic_unpin:"Otomatikali ondoa mada zilizobandikwa mtumiaji akifika mwisho wa ukurasa kama chaguo-msingi."
default_categories_watching:"Orodha ya kategoria zinazoangaliwa kama chaguo-msingi."
default_categories_tracking:"Orodha ya kategoria zinazofuatiliwa kama chaguo-msingi."
default_categories_muted:"Orodha ya kategoria zinazonyamazishwa kama chaguo-msingi."
min_trust_to_create_tag:"kiwango cha chini cha uaminifu kinachohitajika kutengeneza lebo."
max_tags_per_topic:"Kiwango cha juu cha lebo ambazo zinaweza kuwekwa kwenye mada."
max_tag_length:"kiwango cha juu cha herufi zinazoweza kutumika kwenye lebo."
max_tag_search_results:"Utafutaji wa lebo, utaonyesha kiwango hiki cha juu cha majibu."
min_trust_level_to_tag_topics:"Kiwango cha chini kabisa kinachohitajika kulebo mada"
suppress_overlapping_tags_in_list:"Kama lebo zina maneno ambayo yapo kwenye vichwa vya mada, usionyeshe lebo"
errors:
invalid_email:"Barua pepe batili."
invalid_username:"Hakuna mtumiaji mwenye hilo jina."
invalid_integer_min_max:"Namba lazima ziwe kati ya %{min}na %{max}"
invalid_integer_min:"Namba lazima iwe %{min}au zaidi."
invalid_integer_max:"Namba haiwezi kuwa zaidi ya %{max}"
invalid_integer:"Namba lazima iwe namba kamili."
must_include_latest:"Menyu ya juu itaweka kichupo cha 'hivi karibuni'."
invalid_string:"Namba batili."
invalid_string_min_max:"Lazima iwe kati ya herufi %{min} na %{max}."
reply_by_email_address_is_empty:"Lazima uweke 'jibu kupitia barua pepe' kabla ya kuruhusu jibu kupitia barua pepe."
staged_users_disabled:"Kwanza ruhusu 'watumiaji walio staged' kabla ya kuruhusu mpangilio huu."
reply_by_email_disabled:"Kwanza ruhusu 'jibu kupitia barua pepe' kabla ya kuruhusu mpangilio huu."
enable_local_logins_disabled:"Kwanza ruhusu 'ruhusu programu-jalizi ' kabla ya kuruhusu mpangilio huu."
new_user:"Karibu kwenye jumuiya yetu! Hizi ni mada maarufu za hivi karibuni."
not_seen_in_a_month:"Karibu tena! Hatujakuona kwa mda sasa. Tunatumaini unaendelea vizuri. Hizi ni mada maarufu za hivi karibuni toka kipindi ulivyokua mbali na sisi."
merge_posts:
errors:
different_topics:"Machapisho kutoka mada tofauti hayawezi kuunganishwa."
different_users:"Machapisho kutoka watumiaji tofauti hayawezi kuunganishwa."
autoclosed_disabled:"Mada hii imefunguliwa. Majibu mapya yanaruhusiwa."
autoclosed_disabled_lastpost:"Hii mada iko wazi. Majibu mapya yanakaribishwa."
auto_deleted_by_timer:"Imefutwa na saa."
login:
not_approved:"Akaunti yako bado haijathibitishwa. Utapata ujumbe kwa barua pepe ukiwa tayari kuingia."
incorrect_username_email_or_password:"Jina la mtumiaji, barua pepe au nywila imekosewa"
incorrect_password:"Nywila sio sahihi"
wait_approval:"Asante kwa kujiunga. Tutakutumia ujumbe akaunti yako ikithibitishwa."
active:"Akaunti yako imeanzishwa na iko tayari kutumika."
activate_email:"<p>Bado kidogo tu kumaliza! Tumekutumia barua pepe ya uanzisho kwenye <b>%{email}</b>. Tafadhali fuatiia maelezo kwenye barua pepe kuanzisha akaunti yako.</p><p>Kama haijafika, angalia folda la barua taka au spam.</p>"
not_activated:"Bado hauwezi kuingia. Tumekutumia barua pepe ya uanzisho. Tafadhali fuatilia maelezo kwenye barua pepe kuanzisha akaunti yako."
not_allowed_from_ip_address:"Hauwezi kuingia kama%{username} kupitia anwani hiyo ya mtandao."
admin_not_allowed_from_ip_address:"Hauwezi kuingia kama kiongozi kupitia anwani hiyo ya mtandao."
suspended:"Hauwezi kuingia mpaka %{date}."
suspended_with_reason:"Akaunti imesitishwa mpaka %{date}:%{reason}"
password_too_long:"Nywila haziruhusiwi kuwa na herufi zaidi ya 200."
email_too_long:"Barua pepe uliandika ni ndefu sana. Majina ya boxi la ujumbe hayatakiwi kuwa zaidi ya herufi 254, na majina ya kikoa hayaruhusiwi kuwa zaidi ya herufi 253."
off_topic:"Mada yako imeripotiwa kuwa **haihusiki**: jumuiya inaona kuwa haiko sawa kuwa mada, kulingana na kichwa cha habari na chapisho lake la kwanza."
spam:"Chapisho lako limeripotiwa kuwa ni **taka**: jumuiya inaona kuwa ni tangazo, kitu ambacho kinatanganaza badala ya kuwa muhimu au na faida kwenye mada kama ilivyotarajiwa."
notify_moderators:"Chapisho lako limeripotiwa **kupitiwa na msimamizi**: jukwaa limeona kuwa kuna kitu kuhusu chapisho lako kinachohitaji kupitiwa na msaidizi."
flags_dispositions:
agreed:"Asante kwa kutujulisha. Tunakubali kuwa kuna tatizo na tunaifuatilia."
agreed_and_deleted:"Asante kwa kutujulisha. Tunakubali kuwa kuna tatizo na tumeondoa chapisho."
disagreed:"Asante kwa kutujulisha. Tutaifuatilia."
Mda wote Tunaamini kwenye [jumuiya ya ustaarabu na mwenendo mzuri](%{base_url}/muongozo).
Karibu Sana!
welcome_invite:
title:"Muaiko wa Ukaribisho"
subject_template:"Karibu kwenye %{site_name}!"
text_body_template:|
Asante kwa kukubali mualiko kutoka kwa %{site_name} -- karibu!
- Tumetengeneza akaunti hii mpya**%{username}** kwa ajili yako. Badilisha jina au nywila yako kwa kutembelea [umbo lako la mtumiaji][mapendekezo].
- Ukiingia, tafadhali **tumia barua pepe uliyotumia kwenye mualiko** -- au la tutashindwa kukutambua!
%{new_user_tips}
Tuna amini kwenye [jumuiya yenye tabia ya kistaarabu](%{base_url}/mwongozo) mda wote.
Kila la kheri!
[mapendekezo]:%{user_preferences_url}
backup_succeeded:
title:"Chelezo Imefanikiwa"
subject_template:"Chelezo imefanikiwa kumaliza"
backup_failed:
title:"Chelezo Imeshindikana"
subject_template:"Chelezo imeshindikana"
restore_succeeded:
title:"Urejeshaji Umefanikiwa"
subject_template:"Urejeshaji umalizika kwa mafanikio"
restore_failed:
title:"Urejeshaji Umeshindikana"
subject_template:"Urejeshaji umeshindikana"
bulk_invite_succeeded:
title:"Mualiko wa Watumiaji Wengi Umefanikiwa"
subject_template:"Mualiko wa Watumiaji Wengi umefanikiwa"
bulk_invite_failed:
title:"Mualiko wa Watumiaji Wengi Umeshindikana"
subject_template:"Mualiko wa Watumiaji Wengi umepata hitilafu"
csv_export_succeeded:
title:"Uhamishaji wa CSV Umefanikiwa"
csv_export_failed:
title:"Uhamishaji wa CSV Umeshindikana"
subject_template:"Uhamishaji wa taarifa umeshindikana"
text_body_template:"Tunaomba radhi, lakini uhamishaji wa taarifa umeshindikana. Tafadhali angalia batli au [wasiliana na msaidizi](%{base_url}/kuhusu)."
email_reject_insufficient_trust_level:
title:"Barua Pepe Imekataliwa Hauna Kiwango Kinachohitajika cha Uaminifu"
subject_template:"[%{email_prefix}] Tatizo la Barua Pepe -- Hauna Kiwango Kinachohitajika cha Uaminifu"
Akaunti yako haina kiwango cha uaminifu kinachohitajika kuchapisha mada mpya kwenda kwenye barua pepe hii. Kama unaamini hii ni hitilafu, [wasiliana na msaidizi](%{base_url}/kuhusu).
email_reject_user_not_found:
title:"Barua Pepe Kataza Mtumiaji Hajapatikana"
subject_template:"[%{email_prefix}] Tatizo na Barua Pepe -- Mtumiaji Hajapatikana"
Jibu lako limetumwa kwa kutumia barua pepe tofauti ambayo hatukuitegemea, kwa hiyo hatuna uhakika kuwa ni mtu mmoja. Jaribu kutumia barua pepe nyingine, au [wasiliana na msaidizi](%{base_url}/kuhusu).
email_reject_empty:
title:"Barua Pepe Kataa Wazi"
subject_template:"[%{email_prefix}] Tatizo la Barua Pepe -- Hakuna Maandishi"
Hatujaona maandishi ya majibu kwenye barua pepe yako.**Hakikisha jibu lako lipo juu ya barua pepe** --mfumo wetu hauwezi kushughulikia majibu yaliyo ndani ya mistari.
email_reject_invalid_access:
title:"Barua Pepe Kataa Ufikivu Batili"
subject_template:"[%{email_prefix}] Tatizo la Barua Pepe -- Ufikivu Batili"
Akaunti yako haina haki inayohitajika kuchapisha mada mpya kwenda kwenye barua pepe hii. Kama unaamini hii ni hitilafu, [wasiliana na msaidizi](%{base_url}/kuhusu).
email_reject_strangers_not_allowed:
title:"Barua Pepe Kataa Wageni Hawaruhusiwi"
subject_template:"[%{email_prefix}] Tatizo la Barua Pepe -- Ufikivu Batili"
Kategoria uliyoitumia barua pepe hii inakubali majibu kutoka kwa watumiaji na barua pepe zilizosajiliwa tu. Kama unaamini hii ni hitilafu, [wasiliana na msaidizi](%{base_url}/kuhusu).
Kati ya vitu vilivyosababisha ni:umbizo wa hali ya juu, ujumbe ni mkubwa sana, ujumbe ni mdogo sana. Tafadhali jaribu tena, au chapisha kupitia tovuti kama tatizo likiendelea.
email_reject_invalid_post_specified:
title:"Barua Pepe Kataa Chapisho Batili"
subject_template:"[%{email_prefix}] Tatizo la Barua Pepe -- Hitilafu ya Uchapishaji"
Barua pepe yako imepewa alama ya ''kujitengeneza'', kwa hiyo otomatikali ilitengenezwa na kompyuta badala ya kuchapishwa na binadamu; haturuhusu aina hizo za barua pepe. Kama unaamini hii ni hitilafu, [wasiliana na msaidizi](%{base_url}/kuhusu).
email_reject_unrecognized_error:
title:"Barua Pepe Kataza Hitilafu Lilisojulikana"
subject_template:"[%{email_prefix}] Tatizo la Barua Pepe -- Hitilafu Lilisojulikana"
Hitilafu Isiyojulikana limetokea kwenye mchakato wa barua pepe yako na haijachapishwa. Tafadhali, jaribu tena, au [wasiliana na msaidizi](%{base_url}/kuhusu).
email_error_notification:
title:"Hitilafu ya Taarifa za Barua Pepe"
subject_template:"[%{email_prefix}] Tatizo la Barua Pepe -- Tatizo la Uhalalishaji wa POP"
text_body_template:|
Kwa bahati mbaya, hitilafu ya uthibitisho limetokea wakati wa kupata barua kutoka kwenye seva ya POP.
Tafadhali hakikisha umesanidi taarifa za POP [mipangilio ya tovuti](%{base_url}/admin/site_settings/category/email).
Kama kuna sehemu nyingine yenye akaunti ya barua pepe ya POP, itabidi uingie kwenye tovuti hiyo na kuangalia mipangilio.
too_many_spam_flags:
title:"Bendera Nyingi Sana za Taka"
subject_template:"Akaunti mpya inasubirishwa"
too_many_tl3_flags:
title:"Bendera Nyingi za Kiwango cha Uaminifu cha 3"
subject_template:"Akaunti mpya inasubirishwa"
text_body_template:|
Habari,
Ujumbe huu ni otomatiki kutoka %{site_name} kukujulisha kuwa akaunti yako imesimamishwa kwa mda kwa sababu ya ripoti nyingi kutoka kwenye jumuiya.
Kama kujihadhari, akaunti yako imenyamazishwa na haitaweza kutengeneza majibu au mada mpaka msaidizi atakapo kagua akaunti yako. Tunaomba radhi kwa usumbufu utakao tokea.
Kwa usaidizi zaidi, tembelea [mwongozo wa jumuiya](%{base_url}/mwongozo).
silenced_by_staff:
title:"Imenyamazishwa na Msaidizi"
subject_template:"Akaunti imesimamishwa kwa mda"
text_body_template:|
Habari,
Huu ni ujumbe wa roboti kutoka kwa %{site_name} kukujulisha kuwa akaunti yako imesitishwa kwa mda kama tahadhari.
Tafadhali endelea kuvinjari, lakini hautaweza kujibu au kutengeneza mada mpaka [msaidizi](%{base_url}/kuhusu) akikagua machapisho yako ya hivi karibuni. Tunaomba radhi kwa usumbufu utakao tokea.
Kwa mwongozo zaidi, tembelea [mwongozo wa jukwaa](%{base_url}/mwongozo).
user_automatically_silenced:
title:"Mtumiaji Amenyamazishwa"
subject_template:"Mtumiaji mpya %{username} amenyamazishwa na bendera za jumuia"
spam_post_blocked:
title:"Chapisho Taka Limezuiliwa"
subject_template:"Machapisho ya mtumiaji mpya %{username} yamezuiliwa kwa sababu ya viungo vinavyojirudia"
unsilenced:
title:"Hajanyamazishwa Tena"
subject_template:"Akaunti haijasimamishwa tena"
text_body_template:|
Habari,
Huu ni ujumbe kutoka kwa %{site_name}kukujulisha kuwa akaunti yako haijasimamishwa tena baada ya kukaguliwa na msaidizi.
Unaweza kuandika majibu na mada tena. Asante kwa uvumilivu wako.
pending_users_reminder:
title:"Ukumbusho wa Watumiaji Waliosubirishwa"
new_user_of_the_month:
title:"Wewe ni Mtumiaji Mpya wa Mwezi!"
subject_template:"Wewe ni Mtumiaji Mpya wa Mwezi!"
text_body_template:|
Hongera, umepata tunzo ya **Mtumiaji Mpya wa Mwezi wa %{month_year}**. :trophy:
Tunzo hii inatolewa kwa watumiaji wawili wapya kila mwezi, na itaendelea kuonekana kwenye [kurasa ya beji](%{url}).
Kwa haraka sana, umekuwa mwanachama muhimu sana kwenye jumuia yetu. Asante sana kwa kujiunga, na endelea kufanya kazi nzuri!
queued_posts_reminder:
title:"Ukumbusho wa Machapisho Yalipangwa"
unsubscribe_link:|
Kujitoa kwenye barua pepe hizi, [bofya hapa](%{unsubscribe_url}).
unsubscribe_link_and_mail:|
Kujitoa kwenye hizi barua pepe, [bofya hapa](%{unsubscribe_url}).
unsubscribe_mailing_list:|
Unapokea hii kwa sababu uliruhusu orodha ya hali-tumizi ya barua pepe.
Kujiondoa ili usipokee barua hizi, [bofya hapa](%{unsubscribe_url}).
subject_re:"Re: "
subject_pm:"[PM] "
user_notifications:
previous_discussion:"Majibu Yaliyopita"
in_reply_to:"Jibu Kuendana Na"
reply_by_email:"[Tembelea Mada](%{base_url}%{url}) au jibu barua pepe hii kutoa maoni."
only_reply_by_email:"Jibu barua pepe hii kutoa maoni."
visit_link_to_respond:"[Tembelea Mada](%{base_url}%{url}) kutoa maoni."
posted_by:"Imeandikwa na %{username}tarehe %{post_date}"
user_invited_to_private_message_pm_group:
title:"Mtumiaji Amekaribishwa kwenye PM"
subject_template:"[%{email_prefix}] %{username} amemkaribisha @%{group_name} kwenye ujumbe '%{topic_title}'"
Umejaribu kutengeneza akaunti kwenye %{site_name}, au umejaribu kubadilisha barua pepe ya akaunti kuwa %{email}. Lakini, hiyo akaunti ya %{email} tayari ipo.
Kama umesahau nywila yako, [weka upya sasa hivi](%{base_url}/nywila-reset).
Kama haujajaribu kutengeneza akaunti ya %{email} au kujaribu kubadilisha barua pepe yako, usijali - unaweza kupuuzia ujumbe huu.
Kama una maswali yoyote, [wasiliana na wasaidizi wetu](%{base_url}/about).
digest:
why:"Muhtasari Mfupi wa %{site_link} toka mara ya mwisho ulivyotembelea %{last_seen_at}"
since_last_visit:"Kutoka mara ya mwisho ulivyotembelea"
new_topics:"Mada Mpya"
unread_notifications:"Taarifa ambazo Hazijasomwa"
liked_received:"Upendo Uliopokelewa"
new_users:"Watumiaji Wapya"
popular_topics:"Mada Maarufu"
join_the_discussion:"Soma Zaidi"
popular_posts:"Machapisho Maarufu"
more_new:"Mpya kwako"
subject_template:"Muhtasari wa [%{email_prefix}]"
unsubscribe:"Muhtasari huu umetumwa kutoka kwa %{site_link} kama hatujakuona kwa mda fulani. Badilisha %{email_preferences_link}, au %{unsubscribe_link} kujiengua."
your_email_settings:"mipangilio yako ya barua pepe"
click_here:"bofya hapa"
preheader:"Muhtasari mfupi toka mara ya mwisho ulivyotembelea %{last_seen_at}"
Kuna mtu ameomba kuweka upya nywila yako kwenye [%{site_name}](%{base_url}).
Kama sio wewe, unaweza kupuuzia hii barua pepe.
Bofya kwenye kiungo kuchagua nywila mpya:
%{base_url}/u/nywila-wekaupya/%{email_token}
email_login:
title:"Ingia kupitia kiungo"
subject_template:"Ingia kupitia kiungo [%{email_prefix}] "
text_body_template:|
Hiki ni kiungo cha kuingia kwenye [%{site_name}](%{base_url}).
Kama haukuomba hiki kiungo, unaweza kupuuzia hii barua pepe.
Bofya kiungo kifuatacho kuingia:
%{base_url}/session/email-login/%{email_token}
set_password:
title:"Tengeneza Nywila"
subject_template:"Weka Nywila [%{email_prefix}]"
text_body_template:|
Mtu anataka kutengeneza nywila ya akaunti yako[%{site_name}](%{base_url}). Au unaweza kuingia kwa kutumia njia nyingine (Google, Facebook au njia nyingine) kupitia barua pepe iliyothibitishwa.
Kama haujaanzisha ombi hili, unaweza kupuuzia barua pepe hii.
sockpuppet:"Mtumiaji mpya ametengeneza mada, na mtumiaji mpya mwenye anwani ya mtandao hiyo hiyo (%{ip_address}) amejibu. Angalia mpangilio wa tovuti <a href='%{base_path}/admin/site_settings/category/spam'>`flag_sockpuppets`</a>."
description:Gawizo la chapisho kwa watu 300 wa kipekee
great_share:
name:Gawiza Zuri
description:Gawizo la chapisho kwa watu 1000 wa kipekee
first_like:
name:Upendo wa Kwanza
description:Amependa chapisho
long_description:|
Beji hii inatolewa ukipenda chapisho kwa kutumia kitufe cha :heart:. Kuonyesha upendo wa machapisho ni njia moja ya kuonyesha wanachama wenzako kuwa machapisho yao ni mazuri, muhimu, yanavutia, au yamekufurahisha. Endelea kutoa upendo!
first_flag:
name:Bendera ya Kwanza
description:Chapisho limeripotiwa
promoter:
name:Mpambe
description:Mtumiaji amekaribishwa
long_description:|
Beji hii inatolewa ukimkaribisha mtu ajiunge na jumuiya kupitia kitufe cha mualiko kwenye ukurasa wakoo, au chini ya mada. Ukaribishaji wa marafiki ambao wanaweza kuvutiwa na majadiliano ni njia nzuri ya kuwajulisha watu wapya kuhusu jumuiya yetu, kwa hiyo asante!
campaigner:
name:Mwanaharakati
description:Watumiaji 3 wa kawaida wamekaribishwa
champion:
name:Mshindi
description:Wanachama 5 wamekaribishwa
first_share:
name:Gawizo la Kwanza
description:Chapisho lililogawizwa
long_description:|
Beji hii inatolewa mara ya kwanza ukisambaza kiungo chenye jibu au mada kwa kutumia kitufe cha kusambaza. Usambazaji wa viungo ni njia nzuri ya kuonyesha dunia majadiliano yanayovutia na kusaidia kwenye ukuzaji wa jumuiya.
first_link:
name:Kiungo cha Kwanza
description:kiungo kimeongezwa kwenye mada nyingine
long_description:|
Beji hii inatolewa mara ya kwanza ukiongeza kiungo kwenye mada nyingine. Kitendo hicho kinasaidia wasomaji wengine waone mazungumzo ya kuvutia, kwa kuwaonyesha muunganisho kati ya mada kwenye njia zote. Endelea kuunga!
description:Umepata upendo mmoja 1 kwenye machapisho 20
long_description:|
Hii beji inatolewa ukipata upendo mmoja au zaidi kwenye machapisho 20 tofauti. Jukwaa linafurahia mchango wako kwenye majadiliano hapa!
respected:
name:Imepewa Heshima
description:Umepata upendo 2 kwenye machapisho 100
long_description:|
Hii beji inatolewa ukipata upendo 2 au zaidi kwenye machapisho 100 tofauti. Jukwaa linaanza kuheshimu mchango wako kwenye majadiliano hapa!
admired:
name:Imesifiwa
description:Umepata upendo 5 kwenye machapisho 300
long_description:|
Hii beji inatolewa ukipata upendo 5 au zaidi kwenye machapisho 300 tofauti. Jukwaa linasifu na kuheshimu mchango wako mkubwa kwenye majadiliano hapa!
out_of_love:
name:Haina Upendo
higher_love:
name:Upendo wa Hali ya Juu
crazy_in_love:
name:Imejaa Upendo
thank_you:
name:Asante
description:ana upendo 20 kwenye machapisho na ametoa upendo 10
long_description:|
Beji hii inatolewa ukipata upendo 20 kwenye chapisho na ukitoa upendo 10 au zaidi. Mtu akipenda machapisho yako, ni vizuri na wewe ukipenda machapisho yao pia.
gives_back:
name:Toa Tena
description:ana upendo 100 kwenye machapisho na ametoa upendo 100
long_description:|
Beji hii inatolewa ukipata upendo 100 kwenye chapisho na ukitoa upendo 100 au zaidi. Asante kwa ushirikiano wako!
empathetic:
name:Huruma na Uelewa
description:ana upendo 500 kwenye machapisho na ametoa upendo 1000
first_emoji:
name:Emoji ya Kwanza
description:Umetumia Emoji kwenye Chapisho
long_description:|
Beji hii inatolewa mara ya kwanza ukiongeza Emoji kwenye chapisho lako :thumbsup:. Emoji inasaidia kuonyesha hisia kwenye machapisho yako, kuanzia furaha :smiley: mpaka huzuni :anguished: mpaka hasira :angry: na kila kitu katikati :sunglasses:. Andika tu :(nukta mbili) au bonyeza kitufe cha mwambaa zana za Emoji iliyopo kwenye sehemu ya kuhariri kuchagua kati ya machaguo mia moja na zaidi :ok_hand:
first_mention:
name:Kutajwa kwa Mara ya Kwanza
description:Amemtaja mtumiaji ndani ya chapisho
first_onebox:
name:Onebox ya Kwanza
description:Chapisha kiungo kilichokuwa onebox
first_reply_by_email:
name:Jibu la Kwanza Kupitia Barua Pepe
description:Amejibu chapisho kupitia barua pepe
long_description:|
Beji hii inatolewa mara ya kwanza ukijibu chapisho kupitia barua pepe :barua pepe:
new_user_of_the_month:
name:"Mtumiaji Mpya wa Mwezi"
description:Mchango Bora Sana ndani ya mwezi wao wa kwanza
long_description:|
Beji hii inatolewa kwa watumiaji wawili wapya kila mwezi kuwapongeza kwa mchango wao, inapimwa kulingana na machapisho mangapi yalipendwa, na nani.
enthusiast:
name:Mwenye Motisha
aficionado:
name:Aficionado
devotee:
name:Mshiriki
badge_title_metadata:"beji %{display_name} kwenye %{site_title} "
admin_login:
success:"Barua Pepe Imetumwa"
errors:
unknown_email_address:"Barua pepe isiyojulikana."
email_input:"Barua Pepe ya Kiongozi"
submit_button:"Tuma Barua Pepe"
performance_report:
initial_post_raw:mada hii ina ripoti za utendaji wa tovuti yako.
description:"Una karibia kumaliza! Karibisha watu kadhaa kusaidia <a href='https://blog.discourse.org/2014/08/building-a-discourse-community/' target='blank'>kuanzisha majadiliano</a>na mada nzuri na majibu kufanya jumuiya yako ianze."